Umwagikaji damu nchini Somalia
Huwezi kusikiliza tena

Shambulio la kigaidi la Julai lilivyorejesha kumbukumbu ya umwagaji damu Somalia

Kisimayu katika jimbo la Jubaland Somalia ni mahali ambapo palitarajiwa kuwa salama. Mahali ambapo watoto wangeliishi kwa amani mbali na vita vya ndani vya Somalia.

Lakini kile kilichofanyika katika mji huo mwezi Julai mwaka huu kilizima ndoto hiyo. Mwanahabari wa Somalia anaangazia jinsi shambulio la kigaidi la mwezi Julai lilivyorejesha kumbu kumbu ya safari ya umwagaji damu nchini humo na juhudi zake za kujijenga upya.

Mada zinazohusiana