Malori yanayofanyiwa majaribio katika baraba za umeme
Huwezi kusikiliza tena

Je barabara za umeme zinaweza kuleta mageuzi ya hewa safi?

Malori maalumu yafanyiwa majaribio katika baraba za umeme nchini Ujerumani . Nishati ya umeme huwekwa moja kwa moja katika malori kwa njia ya nyaya zinazopita juu. Usafiri huu ni wa gharama kubwa - lakini unaweza kupunguza utoaji wa hewa chafu ya kaboni.

Mada zinazohusiana