Yanga vs Iringa United: Nyuki wasimamisha mechi kwa dakika saba

Yanga vs Iringa United: Nyuki wasimamisha mechi kwa dakika saba

Kwa dakika saba, mchezo baina ya Yanga na Iringa United. 'Timu' ya nyuki iliingia uwanjani katika dakika ya 52 hali iliyofanya wachezaji na waamuzi kuwaachia nyukia hao uwanja. Mashabiki nao walipata 'cha moto' kiasi chake. Baada ya dakika saba, mchezo uliendelea na matokeo ya mwisho yakiwa ushindi kwa Yanga 4-0.

Video kwa hisani ya ya Azam TV.