Ni kwanini wagonjwa hawa wa akili wa Uchina wanaoka mikate?

Ni kwanini wagonjwa hawa wa akili wa Uchina wanaoka mikate?

Nje ya hospital ya wagonjwa wa akili mjini Beijing China kuna duka la kuoka mikate lisilo la kawaida. Wagonjwa wanaruhusiwa kujitolea kufanya kazi, ili kuweza kuwasaidia kwenda sawa na jamii baada ya matibabu yao.

Lakini hata hivyo baadhi ya watu wana wasiwasi na mikate wanayoitengeneza. Mwandishi wa BBC Halima Nyanza anasimulia