Joanna, mmoja wa wakulima wa ghorofani Singapore

Joanna, mmoja wa wakulima wa ghorofani Singapore

Joanna ni mmoja wa wakulima wa bustani wanaoongezeka nchini Singapore wanaojajaribu kuunganisha asili, majengo marefu na mazingira yenye shinikizo kubwa ya Singapore.

Anasema kuna kitu fulani kuhusu kuzingirwa na kijani ambacho kinaachilia kemikali za furaha.