Ajali ya ndege ya Kazakhstan iliyowauwa watu 15

Ajali ya ndege ya Kazakhstan iliyowauwa watu 15

Takriban watu 14 wamefariki baada ya ndege iliokuwa ikiwabeba abiria 100 na wafanyakazi kuanguka nchini Kazakhstan, kulingana na maafisa wa uwanja wa ndege wa nchi hiyo.

Wanasema kwamba ndege hiyo ya Bek Air ilianguka muda mfupi baada ya kupaa katika uwanja wa Almaty mapema siku ya Ijumaa.

Takriban watu 35 , ikiwemo watoto wanane walipelekwa hospitali. Ndege hiyo ni ya aina ya FlightZ92100.

Unaweza pia kusoma: