Tishio la Trump kushambulia torathi za kitaifa Iran ni uhalifu wa kivita
Huwezi kusikiliza tena

Iran ina utajiri wa sanaa na majengo ya kale

Rais Donald Trump amekosolewa vikali kufuatia kauli aliyotoa ya kushambulia maeneo 52 ya torathi za kitaifa Iran kujibu shambulio la nchi hiyo dhidi ya Marekani.

Raia wa Iran kwa upande wao wanajaribu kuelewa alichomaanisha Trump alipotishia kuyashambulia maeneo ya torathi za kitaifa. Lakini je shambulio hilo ni uhalifu wa kivita?

Mada zinazohusiana