''Tunahofia lugha yetu itapotea''
Huwezi kusikiliza tena

Jamii ya El-molo yahofia lugha yao itapotea

Jamii ya El-molo inayoishi katika kisiwa cha Kometi katika ziwa Turkana kaskazini mwa Kenya inahofia lugha yao huenda ikapotea.

Baadhi ya wazee katika jamii hiyo wanasema kinamama wanakaa muda mrefu kabla ya kupata ujauzito mwingene. Idadi yao pia imekuwa ndogo baada ya kuawa katika vita wanapozozozana na jamii zingine.

Mada zinazohusiana