Utamaduni wa uchongaji Ngalawa umekuwa ukienziwa sana mjini Bagamoyo

Vijana wengi wamekuwa wakikwepa kujifunza wakiamini sanaa hii imepitwa na wakati na ni ya wazee.