Australia inachomeka – lakini kwanini hali si ya kawaida?
Huwezi kusikiliza tena

Nini chanzo cha moto Australia na athari zake ni zipi kufikia sasa?

Moto wa nyikani umeua watu 25 na mamia ya wanyama nchini Australia. Moto wa aina hii porini hutokea kila mwaka lakini msimu huu umekuwa mkubwa kupita kiasi.

Moto huo ulioanza mwezi Septemba mwaka jana, unaendelea kuwaka kuelekea mashariki na pwani ya kusini.

Nini chanzo cha moto huu na athari zake kufikia sasa?

Mada zinazohusiana