Tazama volkano ikielekea kulipuka Ufilipino
Huwezi kusikiliza tena

Volkano wa Taal uaendelea kutoa moshi na lava.

Maafisa wa Ufilipino wametangaza hali ya hatari karibu na volcano iliyopo Kusini mwa mji mkuu, Manila. Volkano, wa Taal, inaendelea kutoa moshi na lava.Kuna hofu kuwa kunaweza kutokea mlipuko wa volcano muda wowote. Wataalam waametonchini humo wametoa tahadhari kwa wale wanaokaa karibu na eneo hilo.Maelfu ya wakaazi tayari wameanza kutoka katika eneo hilo.