Watoto waliomwagiwa mafuta ndege ikitua kwa dharura watibiwa
Huwezi kusikiliza tena

Mafuta yanaruhusiwa kumwagwa pale ndege inapotua kwa dharura

Ndege ya abiria yamwaga mafuta kwenye shule kadhaa wakati ikitua kwa dharura katika uwanja wa taifa wa Los Angeles.Takriban watu 60, wengi wao wakiwa ni watoto, walitibiwa kwa matatizo ya kupumua na kuwashwa ngozi.

Mafuta yanaruhusiwa kumwagwa pale ndege inapotua kwa dharura, lakini sheria za anga zinasema yamwagwe kwenye maeneo yasiyo na watu wengi na ndani ya umbali mkubwa tu.

Mada zinazohusiana