Mwanamke aliyepambana na saratani anajipatia sura mpya.
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke aliyeugua saratani apata sura mpya

Denise Vicentin alipoteza jicho moja na sehemu ya taya yake baada ya kuugua saratani na kupata uvimbe mkubwa usoni miaka 30 iliyopita. Bi Denise ameweza kupata sura mpya na kurejea katika maisha yake ya kawaida. Watafiti katika chuo kikuu cha Paulista mjini Sao Paulo wametumia njia ya gharama ya chini kutengeneza sehemu ya uso wake. Wanadai walitumia simu ya teknolojia ya kisasa na kompyuta tu.

Mada zinazohusiana