Watalii wajasiri walivyopaa juu ya milima China
Huwezi kusikiliza tena

Tazama watalii wenye uthubutu walivyopaa eneo hatari China

Wafaransa Frederic Fugen Vincent Reffet wamefanya safari ya kuogopesha katika eneo hatari lenye milima China.

Wawili hao waliokuwa wamevalia mavazi yaliokuwa na mabawa spesheli walipaa juu ya mlima Tianmen katika mkoa wa Hunan, unaofahamika kama lango la mbinguni.

Picha ya tukio hilo ambalo lilifanyika mwezi Novemba mwaka jana zimesambazwa kote duniani.

Mada zinazohusiana