Bongo movie ina mchango katika ukuaji wa lugha ya kiswahili na utamaduni?
Huwezi kusikiliza tena

Matumizi ya Lugha ya Kiswahili kwa asilimia Mia moja ni jambo linalotiliwa mkazo ?

Matumizi ya Lugha ya Kiswahili kwa asilimia Mia moja si jambo linalotiliwa mkazo na baadhi ya wasaniii na waandaaji wa filamu nchini Tanzania jambo linalopoteza maana ya halisi ya Filamu nchini humu maarufu kama Bongo Movie.

Madebe Lidai anayefahamika zaidi kama nabii mswahili anasifika kwa kusimamia matumizi ya Lugha ya Kiswahili katika filamu zake.

Mwandishi wa BBC Eagan Salla alizungumza naye.

Mada zinazohusiana