Unaweza kujiunga na chama cha kutengeza jeneza lako
Huwezi kusikiliza tena

Wazo la kujitengezea jeneza limeshabikiwa na baadhi ya wazee duniani

Kutana na klabu ya majeneza ya Rotorua – ambapo wanachama wake raia wa New Zealand hukutana kila wiki kujitengeneza majeneza yao binafsi.

Ni wazo ambalo limeshabikiwa na watu wengi duniani, huku klabu hiyo ikipata umaarufu Uingereza, Marekanai na mataifa mengine.