Simba 36 wanaoishi katika mbuga ya kitaifa ya Serengeti nchini Tanzania kuhamishwa
Huwezi kusikiliza tena

Simba watahamishwa kutoka eneo hilo kutokana na mashambulizi dhidi ya binadamu na mifugo

Simba 11 kati ya hao 36 wameshakamatwa na watapelekwa katika mbuga ya wanyama iliyoko kilomita 650 mbali na hiyo ya Serengeti. Lakini kuhamishwa kwa simba hao kutakuwa na athari gani kwao?

Caro Robi alizungumza na Profesa Noah Sitati mtaalamu wa wanyama pori nchini Tanzania wa shirika la kimataifa la Kuwalinda wanyama pori WWF kufahamu zaidi kwanini simba hao wanahamishwa.

Mada zinazohusiana