Changamoto za waathirika wa ukoma Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto za waathirika wa ukoma Tanzania

Maisha ya Beatrice Kihedu mwenye umri wa miaka 70 yalibadilika pindi alipoanza kuugua ugonjwa wa ukoma.

Akiwa msichana mdogo alilazimika kusafiri mwendo wa masafa marefu kwenda kutafuta tiba katika kituo cha afya cha Nunge kililchopo Hombolo, mkoani Dodoma. Amemsimulia mwandishi wa BBC Aboubakar Famau jinsi familia yake ilivyomtenga tangu alipougua maradhi ya ukoma.

Mada zinazohusiana