Ung'oaji meno wa jadi umekuwa zoezi la kawaida miongoni mwa jamii fulani barani Afrika.

Ung'oaji meno wa jadi umekuwa zoezi la kawaida miongoni mwa jamii fulani barani Afrika.

Wafugaji wengi wanaoishi katika maeneo yenye ukame na yale ya kawaida Afrika Mashariki hufanya zoezi hilo la kuwang'oa watoto wachanga meno ya awali kabisa pale tu yanapoota wakiamini yanaleta maradhi

Ni jambo la kawaida kabisa kumuona mtu ambaye si daktari wala tabibu aking'oa watoto wachanga meno miongoni mwa jamii za Masai na Turkana nchini Kenya

Mwandishi wa BBC Mercy Juma alitembelea eneo hilo