Jinsi Wakenya walivyokerwa na jezi mpya ya michezo ya Olimpiki
Huwezi kusikiliza tena

Wakenya walalama kuhusu mtindo mpya wa jezi ya Olimpiki

Kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo ya Nike imezindua muundo mpya wa jezi ambazo nchi tofauti zitavaa kwenye michuano ya Olimpiki mjini Tokyo baadaye mwaka huu.

Miongoni mwa jezi zilizozinduliwa ni pamoja na za timu ya Kenya ambazo zimefanyiwa marekebisho na mabadiliko hayo kukosolewa vikali na waKenya katika mitandao ya kijamii.

Hatahivyo kamati ya Olimpiki ya Kenya imetetea mtindo wa jezi hiyo ikisema kwamba muundo wake ni wa kipekee kwa kuwa unaendana na utamaduni wa .

Mada zinazohusiana