Maafisa wa polisi pamoja na wanajeshi waliojihami wanaingia bunge la El Salvador

Huwezi kusikiliza tena
Vikosi vya usalama vyavamia bunge la El Salvador

Wanajeshi na maafisa wa polisi waliojihami nchini El Salvador wamevamia bunge , wakitaka kuidhinishwa kwa mkopo wa dola milioni 109 ili kuwanunulia vifaa vya kukabiliana na uhalifu.

Waliingia katika jengo la bunge wakati rais Nayib Bukele alipokuwa anakaribia kuwahutubia wabunge.

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii