‘Sitakubali’ –  Kikongwe aliyeapa kulinda msitu wa Amazon
Huwezi kusikiliza tena

Chifu wa miaka 90 aliyepambana kuulinda msitu wa Amazon kwa zaidi ya miaka 50

Wanaharakati wa mazingira na makundi ya wazawa wanasema sera za kiongozi wa Brazil Jair Bolsonaro zimechangia kwa kiasi kikubwa uangamizaji wa msitu wa mvua. Chifu Raoni Metuktire anatembelea Uingereza kujaribu kuhamasisha uungaji mkono wa kimataifa juu ya mpango wao wa kuunusuru msitu wa Amazon.

Mada zinazohusiana