Mwanasarakasi wa viungo anayepindisha mwili
Huwezi kusikiliza tena

Unachohitaji kukifanya ili kufanikiwa katika sarakasi za kupindisha mwili

Aleksei Goloborodko amekua akiukunja mwili wake katika muonekano wa kushangaza tangu alipokua na umri wa miaka mine. Ilikua ni ndoto yake ya tangu utotoni kujiunga na mchezo wa sarakasi, na sasa hutembea katika maeneo mbali mbali duniani kufanya maonyesho kupitia shule ya sarakasi Cirque du Soleil katika onyesho linaloitwa Luzia.

Mada zinazohusiana