Wanasayansi wa Nasa wanadai wamebadili nadharia iliyopo ya jinsi sayari katika mfumo  wa jua zilivyoundwa
Huwezi kusikiliza tena

Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari

Wanasayansi wa Nasa wanadai wamebadili nadharia iliyopo ya jinsi sayari katika mfumo wa jua zilivyoundwa.

Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari.

Matokeo mapya yalichapishwa kwenye jarida la kisayansi limesema kuwa uundwaji huu ulikuwa wa utulivu , miamba ikijikusanya pamoja.

Mada zinazohusiana