Wanasema sisi wanaume kwa kuwa tunacheza mpira
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake Sudan: Wanasema sisi wanaume kwa kuwa tunacheza mpira

Wakati wa utawala wa miaka 30 ya utawala wa Omar al-Bashir nchini Sudan, kuliwekwa marufuku zilizowagusa wanawake, ikiwemo ya wanawake kutocheza kandanda.

Aliondolewa madarakani baada ya maandamano ya mwaka 2019. Serikali mpya inayoongozwa na raia imekubali kwa mara ya kwanza kuanzishwa kwa ligi ya wanawake.

Hata hivyo, bado wanawake hawa wanakumbwa na changamoto.