Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema anastahili kupata pongezi

Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema anastahili kupata pongezi

Zitto Kabwe ambaye amerejea nchini baada ya kumaliza ziara yake katika mataifa mbalimbali ikiwemo Marekani na Uingereza, amezungumza na BBC kuhusu shutuma dhidi yake baada ya kuiandikia barua Benki ya Dunia kusitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania.