Uchezaji wa densi uliobadili maisha ya wanawake

Uchezaji wa densi uliobadili maisha ya wanawake

Wakati jeraha la uti wa mgongo lilipomaanisha kuwa Vickie Simmonds ataanza kutumia kiti cha gurudumu, aligundua mapenzi yake ya kudensi. Kwa usaidizi wa rafiki yake mkuu Amanda, ambaye hana ulemavu wowote, alijiunga na somo la densi ya viungo ambayo angeweza kuicheza akiwa kwenye kiti cha gurudumu.