Changamoto kwa watu walemavu kupata mkopo nchini Tanzania

Halmashauri zote nchini Tanzania zinapaswa kutenga asilimia mbili ya mapato kwa ajili ya walemavu, changamoto iko wapi katika kutekeleza suala hilo?