Mamia wajitokeza kwa mazishi ya msanii maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo aliyedaiwa kujiua

Mamia wajitokeza kwa mazishi ya msanii maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo aliyedaiwa kujiua

Mamia wajitokeza kwa mazishi ya msanii maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo aliyedaiwa kujiua katika mahabusu ya polisi. Maafisa wa usalama wanasema watafanya uchunguzi juu ya kifo chake.