Msururu wa watu wanaotaka barakoa kujikinga na virusi vya Corona Korea Kusini

Msururu wa watu wanaotaka barakoa kujikinga na virusi vya Corona Korea Kusini

Korea Kusini ina idadi kubwa ya visa vya Covid-19 nje ya Uchina. Katika mji wa Daegu mamia ya watu wamekua wakipanga misururu kununua barakoa kutoka kwa maduka ya jumla,ambayo kwa mujibu wa vyombo vya habari yaliuza barakoa milioni 1.4 kwa nusu ya bei ya kawaida