Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu wamkumbuka Kobe Bryant kama mtu aliyewapa hamasa

Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu wamkumbuka Kobe Bryant kama mtu aliyewapa hamasa

Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu kutoka maeneo tofauti ya dunia wanatuambia ni kwa namna gani Kobe Bryant alikua muhimu kwao.

Mshindi wa mara tano wa michuano ya NBA, aliyeichezea timu ya LA Lakers na binti yake Gianna, aliyekua na umri wa miaka 13, walikua miongoni mwa watu tisa waliopoteza maisha wakati ndege ilipoanguka katika eneo Calabasas, California mwezi uliopita