Wademocrat wang’ang’ana kumsaka anayeweza kumshinda Trump 2020
Wademocrat wang’ang’ana kumsaka anayeweza kumshinda Trump 2020
“Ni nani anayeweza kumshinda Donald Trump na kuwa rais ajae wa Democrat wa Marekani ?”Hilo ndio swali wengi wa Wademocrat nchini Marekani watakua wanajiuliza katika Jumanne Maalum ya Wademocrats ama Super Tuesday, tarehe 3 Machi. Majimbo 14 yatakua yanapiga kura, yakiwemo mawili yaliyo na idadi kubwa ya wapigakura, California na Texas.