India: Wahanga wa vurugu za Delhi wahoji hatma yao

India: Wahanga wa vurugu za Delhi wahoji hatma yao

Zaidi ya watu 40 wamefariki katika vurugu za siku tatu nchini India, walengwa wakiwa waislamu ingawa wote wabaniani na waislamu wamekufa.

Huku zaidi ya watu 200 wamejeruhiwa ktika vurugu hizo ambazo zilizoanza kupinga sheria uraia inayodaiwa kuwabagua waislamu.