Mwanamke aliyepona corona azungumza

Mwanamke aliyepona corona azungumza

Huku virusi vipya vya Corona vikiendlea kusambaa kote duniani na kuchukua maisha ya watu, pia kuna maelfu ya watu ambao wameweza kupona. Lakini ni wachache wanaotaka kuzungumzia juu ya uzoefu wao wazi, kwasababu ya unyanyapaa na ubaguzi wanaoweza kukabiliana nao.

Mwanamke mmoja nchini Singapore, ambako kumekua na visa zaidi ya mia moja, aliamua kuwa ni muda wa kuongelea Virusi vya corona. Hii ni simulizi ya Julie.