Makamu wa rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu aelezea maisha yake uongozini

Makamu wa rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu aelezea maisha yake uongozini

Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani BBCswahili inazungumza na makamu wa rais wa Tanzania mama Samia Suluhu kuhusu kazi na majukumu yake kama mwanamke aliye uongozini. Mahojiano haya yalifanyika kabla ya kifo cha rais Magufuli.

Kwa mengi zaidi kuhusu Bi Samia tembelea ukurasa wetu wa Youtube https://bbc.in/39vXtGn

Ripoti: Halima Nyanza

Video: Eagan Sala