Coronavirus: Jinsi Wuhan wanavyosalimiana 'Wuhan shake'

Coronavirus: Jinsi Wuhan wanavyosalimiana 'Wuhan shake'

Watu wengi duniani wanaepuka kusalimiana kwa kushikana mikono ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.

Mjini Wuhan, wameanzisha mtindo mpya wa kusalimia unaoitwa 'Wuhan shake' lakini si eneo hilo tu ambalo wamekuja na mbinu mpya, tazama video hii na kuona jinsi watu wanavyosalimiana.