Kutana na Moses Turahirwa mwanamitindo anayemvalisha rais wa Rwanda

Kutana na Moses Turahirwa mwanamitindo anayemvalisha rais wa Rwanda

Moses Turahirwa ni kijana wa Myarwanda ambaye ubunifu wake wa mitindo ya mavazi umeweza kuwavutia watu mbali ndani na nje ya Rwanda. Miongoni mwao ni rais wa Rwanda Paul Kagame na familia yake. Amezungumza na BBC