Coronavirus: Ramani inayoonesha idadi ya watu walioambukizwa na waliofariki kutokana na virusi vya corona duniani

Dargaggoo maaskii godhate Haki miliki ya picha Getty Images

Mlipuko wa virusi vya corona unaosababisha ugonjwa wa Covid-19, ulitokea katika mkoa wa Hubei nchini China.

Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica.

Kufikia sasa kinachojulikana ni kuwa Covid-19, ni ugonjwa ambao unaothiri mfumo wa kupumua wa binadamu.

Dalili zake ni pamoja na homa kali, kukohoa ambako baada ya wiki moja muathiriwa anakabiliwa na tatizo la kupumua.

Unaweza kufuatilia kwenye ramani ifuatayo kufahamu zaidi kuhusu hali ya maambukizi na na vifo vilivyotokana na ugonjwa huo duniani