Coronavirus: Kila mgeni atakayewasili Tanzania kufikishwa karantini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema serikali ya Tanzania imetenga maeneo ya kujitenga kwa muda kwa wasafiri wanaowasili kutoka nje ya nchi hiyo.

Kwa kuzingatia hali ya kiuchumi , maeneo hayo ya kujitenga ni hoteli zenye hadhi ya kuanzia nyota tano mpaka hoteli za daraja la chini.

Video: Eagan Salla