Coronavirus: Watanzania walio nje washauriwa kurejea nyumbani kabla ya Jumamosi

"Watanzania walio nje ya nchi wameshauriwa wawe wamerejea nyumbani kufikia Jumamosi

Wewe unapokuja unafamilia yako tukikuachilia ukipata tatizo, sio wewe peke yako ni pamoja na taifa,"Hamad Rashid waziri wa Afya Zanzibar.

Waziri aliongeza kusema kuwa waliorudi 130 wapo karantini na baadhi yao hawaonyeshi uzalendo.