Virusi vya Corona: Namna gani unaweza kuwa umbali wa mita mbili

Virusi vya Corona: Namna gani unaweza kuwa umbali wa mita mbili

Watu wameshauriwa kuwa umbali wa mita mbili ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.

Lakini yawezekana kuwa ni jambo gumu sana kutambua kuwa upo umbali wa mita mbili na mwingine.

Huu hapa ni muongozo unaoweza kukusaidia kufahamu mita mbili zinazohitajika.