Virusi vya Corona: Habari katika picha

A woman wears a white face mask and covers her hair with an orange fabric.

Chanzo cha picha, Reuters

Two children stand at the window holding their drawing of what they miss most - their illustrations show rainbows and ice-cream vans.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Watoto wawili ndugu wakiwa wanachungulia dirishani mwa nyumbani kwao mjini Cape Town, Afrika Kusini wakiwa katika marufuku ya kutoka nje.Mmoja amechora gari la barafu(Ice cream) na mwingine upinde

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Watoto wengine wakiwa wanacheza mchezo wa kwenye bao mjini Kinshasa, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Mjini Nairobi , mchoro unaoonyesha kirusi cha corona kinavyofanana na kilivyo hatari

Chanzo cha picha, AFP

Chanzo cha picha, AFP

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Walimu wajirekodi kwenye televisheni wakati shule zikiwa zimefungwa nchini Ivory Coast

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Shule nchini Madagascar, zimefunguliwa na wanafunzi wakiwa wamekaa kwa mbali

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Viti vikiwa vimewekwa nje ya soko katika mji mkuu wa Algeria

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Wateja wanatakiwa kulipa bidhaa kwa kutumia mihamala ya simu baada ya kutoa fedha

Chanzo cha picha, AFP

Pictures from Getty Images, AFP, EPA and Reuters.