Virusi vya corona: Je kipimajoto kinaweza kugundua maambukizi ya corona?

Virusi vya corona: Je kipimajoto kinaweza kugundua maambukizi ya corona?

Kipima joto hakiwezi kubaini ikiwa mtu ameambukizwa virusi vya corona kwasababu kazi yake ni kupima kiwango cha joto la mwili tu.

Lakini kinaweza kuonesha kwamba mtu ana homa ambayo pia inaweza kuwa moja ya dalili ya virusi vipya vya corona.

Shirika la Afya Duniani, linasema kwamba mtu mwenye virusi vipya vya corona anaweza kuambukiza wengine wakati yeye mwenyewe binafsi hajaonesha hata dalili.

Kwa mengi zaidi fuatilia video hii...