Ukweli kuhusu kemikali za kuua vijidudu na mapambano dhidi ya virusi vya corona

Ukweli kuhusu kemikali za kuua vijidudu na mapambano dhidi ya virusi vya corona

Rais wa Marekani Donald Trump alisema utafiti ufanyike kubaini ikiwa virusi vya corona vinaweza kutibiwa kwa kudunga binadamu sindano za kemikali za kuua vimelea vya virusi na bakteria.

kuna ukweli kuhusu hili?