Virusi vya corona: Je dunia imejindaaje baada ya Spanish Flu kuwaua mamilioni?

Virusi vya corona: Je dunia imejindaaje baada ya Spanish Flu kuwaua mamilioni?

Wakati dunia ikikabiliana na mlipuko wa Covid-19, uliosababishwa na aina mpya virusi vya corona, mlipuko huu unalinganishwa na janga kubwa la awalikuanzia 1918, lililoitwa Spanish Flu. Lakini je ni nini kilichobadilika tangu wakati huo?.