Virusi vya corona: ' Jinsi madereva wa malori ya kubeba mizigo wanavyokumbwa na unyanyapaa

Virusi vya corona: ' Jinsi madereva wa malori ya kubeba mizigo wanavyokumbwa na unyanyapaa

Maderava wa malori ya kubeba mizigo wamekuwa wakilalamika jinsi wanvyotengwa na raia wengine kwa hofu ya kwamba huenda wakawaambukiza virusi vya corona.

Hatua hiyo inajiri baada ya madereva wengi wa malori hayo kukutwa na corona katika mipaka mbalimbali ya mataifa ya Afrika mashariki. BBC imeongea na mmoja wa madereva na amesimulia hali ngumu aliyokutana nayo katika mpaka wa Tanzania na Rwanda.