Virusi vya corona: Shule zinachukua tahadhari gani wakati wanafunzi wanapoanza tena masomo?

Virusi vya corona: Shule zinachukua tahadhari gani wakati wanafunzi wanapoanza tena masomo?

Wanafunzi wa kidato cha sita nchini Tanzania ambao wanakaribia kufanya mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari wanaanza masomo yao hii leo

Hatua ya kurejea shuleni ilitangazwa na Rais John Magufuli baada ya kuonesha kuridhishwa na mwenendo wa ugonjwa wa corona nchini Tanzania, akisema kuwa kasi ya maambukizi imeshuka.

Wakati wanafunzi wakirejea shuleni, tahadhari imeendelea kutolewa kwa wanafunzi kufuata taratibu ili kuepuka maambukizi ya Covid-19.

Unaweza kusoma