Virusi vya Corona: Kutana na Msafiri Mjema aliyebuni mfumo kujifukiza jijini Dar es Salaam

Virusi vya Corona: Kutana na Msafiri Mjema aliyebuni mfumo kujifukiza jijini Dar es Salaam

Wakati dunia ikiendelea kupambana na virusi vya Corona Mtanzania Msafiri Mjema yeye ameiona fursa ya kutoa huduma kwa kwa jamii kwa kutengeneza mfumo rahisi wa kujifukiza alioupa jina la Aspera Covid 19 Nyungu.

Anaamini kuwa mfumo huu wa kipekee utasaidia kukabiliana na virusi vya corona kwa watumiaji. Watu huchangia Shilingi za Tanzania elfu moja ambayo ni chini ya dola moja kuipata huduma hii.

Video na Eagan Salla-BBC News