Lioness Latoya : Daktari lakini usiku ni mwanamuziki wa kufokafoka

Lioness Latoya : Daktari lakini usiku ni mwanamuziki wa kufokafoka

Namibia ina wagonjwa wachache sana wa Covid-19 na kwa sasa nchi hiyo inapunguza makali ya masharti ya kusalia nyumbani ambayo yaliwekwa mwezi Machi. Mmoja wa madaktari ambao wamekuwa wakifanya kazi kipindi hiki cha janga la corona ni Latoya Mwoombola.

Pamoja na kazi yake ya siku, hutumia muda wake wa mapumziko kwa kuimba muziki wake wa miondoko ya kufokafoka akijulikana kama Lioness. Kipindi cha watoto cha BBC Afrika cha What's New kimezungumza naye.