Safari ya kisiasa ya Pierre Nkurunziza nchini Burundi

Safari ya kisiasa ya Pierre Nkurunziza nchini Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameaga dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo. Serikali ya Burundi ilitangaza kwenye mtandao wa Twitter.

Baada ya kuwa madarakani kwa miaka 15, Nkurunziza aliandaliwa kutambulika kuwa 'kiongozi mkuu wa uzalendo' baada ya kuondoka madarakani mwezi Agosti.

Burundi imetangaza siku saba za maombolezo.